Dr KIGWANGALLA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA MARA - TSJ WARRIORS

Breaking



Wednesday, September 27, 2017

Dr KIGWANGALLA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA MARA


Image result for Dr Kigwangalla afanya ziara ya kushtukiza Hospitali ya Mara
Msafara ukiwasili
Na. Erick Kelvin
Naibu Waziri wa Afya Dr. Kigwangalla amefanya ziara ya kushtukiza usiku huu katika Hospitali ya Mkoa wa Mara na kutembelea Chumba cha upasuaji ambako alikutana hali isiyoridhisha ikiwemo uchafu na mpangilio mbovu wa vifaa vya upasuaji.
Chumba cha Upasuaji cha Hospitali hiyo kimebainika kuwa na matatizo mbalimbali licha ya kuwa na umri wa mwaka mmoja tu tangu kifunguliwe ambapo Dr Kigwangalla alibaini mazingira yasiyo safi huku baadhi ya vyumba vikiwa havina taa na vingine vikitumika kinyume na utaratibu.

No comments:

Post a Comment


Pages