KEVIN HART AAHIDI KUWA MUAMINIFU - TSJ WARRIORS

Breaking



Wednesday, September 27, 2017

KEVIN HART AAHIDI KUWA MUAMINIFU

Na. Oliver Mathias
Muigizaji  na mchekeshaji wa Hollywood, Kevin Hart akiwa na mkewe Eniko.
Muigizaji  na mchekeshaji wa Hollywood, Kevin Hart ambaye alikumbwa na shetani la kumsaliti mke wake ametumia  show aliyofanya huko Georgia siku ya Jumapili  iliyopita kwa kuiomba radhi familia yake.
Katika show hiyo Hart mwenye  umri wa miaka 38, alianza kwa kusema “We got a lot of s*** to talk about, people,” kisha akamaliza kwa kuahidi kuwa mwaminifu ‘I’m going to be a better man,’.
Ndoa ya Hart na Eniko ina mwaka mmoja na tayari imeshakuwa na janga la usaliti  na mwanamke aitwaye Montia Sabbag. Kabla ya kumuoa Eniko, Kevin amewahi kumsaliti mke wake wa kwanza.

No comments:

Post a Comment


Pages