Na. Joseph Abel
Unanijua unanisikia ni moja ya mistari inayopatikana katika ngoma ‘Unanijua Unanisikia’ ya MwanaFA ambaye jina lake limetajwa na rapper Fabolous kutoka nchini Marekani, aliyekuwepo katika party ya kinyamwezi na mastaa wakubwa duniani.

Party hiyo ilikuwa ni ya uzinduzi wa bidhaa za BallyXSwizz kutoka kwa mtayarishaji wa muziki nchini Marekani, Swizz Beatz iliyokutanisha watu mbalimbali akiwemo mwanamitindo kutoka Tanzania, Flaviana Matata ambaye ni rafiki wa Mwana FA na ndiye aliye rekodi video ikimuonyesha ambayo Fabolous akimsalimia Mwanafalsafa(Mwana FA).
“All my friends know how i ‘understand’ Loso..@flavianamatata done made my year,not a day not a week not a month,A YEAR aisee..thanks for the S/O @myfabolouslife i have always been a big fan! NB;Sjui kama ntawaruhusu kunywa hata maji siku mbili hizi,i cant promise
,” ameandika Mwana FA katika mtandao wake wa Instagram.
No comments:
Post a Comment