UFUNGUZI WA UWANJA WA JULIUS NYERERE KUWA UWANJA WA KIMATAIFA - TSJ WARRIORS

Breaking



Wednesday, September 20, 2017

UFUNGUZI WA UWANJA WA JULIUS NYERERE KUWA UWANJA WA KIMATAIFA




ujenzi wa kiwanja cha ndege cha JNIA ukiendelea. picha na
 Joseph
                                       

Na Oliver Mathia

 Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano profesa Makame Mbalawa anatarajia kufungua kongamanolenye kauli mbiuinayosema " kupeleka juu secta ya usafiri wa anga"
   
 Kongamano hilo ambalo ni la kwanza la aina hii kufanyika nchini limedharinia kukutanisha wadu wote muhimu kwa usafiri wa anga ili kujadili mafanikio, changamoto stahiki katika azima ya serikali ya kuifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa viwanda ifikapo mwaka 2025.
     
Ameyasema hayo baada ya mamlaka ya usafiri wa anga (TCAA) kuufanya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kuwa njia panda ya usafiri wa anga katika eneo la Afrika mashariki.
     
Mkurugenzi mkuu wa TCAA, Hamza Sohara aliyasema hayo jana jijini Dar es salaam wakati wa kongamano lenye lengo la kuboresha secta ya kusafiri watanzania na mahusiano mengine.

No comments:

Post a Comment


Pages